HASARA ZA KUTOFANYA MAPENZI KWA MUDA MREFU
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogo madogo yanaweza kujitokeza kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa kiafya karibu twende sawa katika darasa la leo Mwalimu ndio nshakuandalia vitu vitamu jisomee ili ufaulu somo Mapenzi.
Zifautazo ni athari hasi za kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu;
1.Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo Mara kwa mara huwa anakasirishwa na vitu vidogo hata visivyokuwa na maana yeye huvitilia maanani .
2.Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mwanamke), Tafiti zinaonesha kuwa mwanamke anapokuwa kwenye mzunguko wake wa siku 28 kama hatoshiriki tendo la ndoa kwa kipindi kirefu basi hupoteza damu nyingi wakati wa hedhi.
3.Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu) hii pia ni tabia inayoibuka kisaikolojia kutokana na kile watoto wa mtaani wanachoita mizuka inampanda kwa yasiyo muhusu.
4.Kuumwa na kichwa, Wataalamu wametaja maumivu ya kichwa mara kwa mara wakati mwingine husababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu.
5.Kukakamaa mgongo (wanaume), Inasemekana kuwa mwanaume akikaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu husumbuliwa na maumivu ya mgongo ya mara kwa mara.
6.Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Hii imeelezwa ni kutokana na ndoto zile utakazoota kifikra kwamba unafanya tendo la ndoa ndio hupelekea kumkaribisha jini mahaba katika mwili wako.
7.Kupoteza umakini katika kazi, Wataalamu wa mambo wanasema kwamba pindi unapokaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa unapoteza uwezo wa kufanya kazi kwa umakini unaotakiwa.
8.Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Inasemekana utakuwa umekamia mechi hivyo utauanza mchezo bila maandalizi yanayotakiwa hivyo msuguano utakuwa mkali na kuleta madhara.
Tuesday, 16 August 2016
Saturday, 13 August 2016
JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAUME WAKO
JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAUME WAKO
Unaambiwa raha ya penzi ujue kuenzi, Je mpenzi wako unamfurahisha kwa mambo yapi? basi leo nikuibie siri Jinsi ya Kumfurahisha Mwanaume wako katika mahusiano yenu.
1.Mlishe au jenga mazoea ya kula pamoja nae, Hivi wewe hapo ukilishwa huwa unajisikiaje? Bila shaka jibu ni raha tupu asikwambie mtu mwanaume ni kama mtoto jitahidi kuenda nae sawia kwa mahaba haya akikuacha basi huyo ujue kivuruge.
Kuna wengine hudai kuwa wanaostahili kulisha ni wale wanaotembea na waliowazidi umri la hasha! Utafeli dada wewe utaishia kuambiwa niko bize na kazi tutaonana wikiendi.
2.Kuwa karibu nae, Unapoanzisha uhusiano ujue kabisa kile ni kitendo kisichokuwa cha hiari jitahidi mara moja moja unamridhisha mwenzi wako sio kila siku uko bize na shughuli za hapa na pale wenzio wakichangamkia fursa ujue itakula kwako na usiposhtuka mapema utajikuta unasubiri Meli Airport.
3.Ishi nae kwa Amani, Kuna watu wanajikuta wanataka kubembelezwa tu pasi na sababu atatafuta sababu ilimradi tu atake kujua kwamba akimuudhi mpenzi atachukua uamuzi gani, angalia kuna wengine hawajui kubembeleza kwa kingereza tunawaita “UNROMANTIC MEN” yaani huyu ukimzingua tu inakula kwako.
4.Usichunguze Simu yake, Mahusiano ya kipindi hiki cha utandawazi yamegeuzwa thamani yake kuwa ni sawa na utamu wa bazoka unatafuna ikiisha utamu unatema lakini chanzo cha yote ni simu za mkononi kwani zimechochea sana usaliti hasa huu mtandao ulioteka vijana wa sasa “Whatsapp” mtu akitumiwa picha tu hata mtu hujawahi kumuona ushaingiwa tamaa.
Ili kuepukana na presha zote hizo achana na kukagua simu ya mwenzi wako yaani kwa lugha nyepesi acha shobo na simu ya mwenzio maana isije kuwa chanzo cha kuhatarisha uhusiano wako na wanaume wengi hawapendi kwa kuzingatia hilo atakupenda mno.
5.Usimsumbue na Mizunguko yake, Kuna wanawake wengine huwa wanaboa sio siri kwa hili badilikeni mtu atataka ajue unaenda wapi na unafanya nini na uko na nani tena wengine hufika mbali “ooohooo uko na nani mbona huongei kwa kujiachia hebu ni kiss nijue kama hauko na mwanamke” tambua yule ni mtu mzima anamajukumu yake sio kila kitu akwambie vingine kubali vikupite asikudanganye mtu mwanaume hapendi kufatiliwa kupita kiasi

SEHEMU TANO (5) ZA KUMPAGAWISHA MWANAMKE

Imekuwa mazoea kwa wanaume kujituma kwenye mahaba kuliko wanawake hali ambayo akija akimpata mtoto wa Kileo ndo utasikia kibuti kinahusika lakini usijihisi Unyonge wakati Mwalimu nipo kwa ajili yako, leo hii utapata kufahamu sehemu tano za kumshika mwenza wako ukiwa nae kwenye sita kwa sita.
Shingo: Hii ni sehemu nyeti sana, na ina raha isiyo na kifani haswa pale utapo mgusa taratibu ukitumia ulimi huku ukihema kwa mahaba ili umpe joto la kumsisimua hadi pale atapofika kwenye uwanja wa raha na kukutengenezea mazingira ya kufikishana kileleni mkiwa pamoja na sio kiyatima.
Masikio:Hakuna asiyejua raha ya kunong’onezwa kwa mahaba, jamani ni raha kwa kweli, hapa mwanamke inabidi uwe mshambuliaji hatari ili kumfanya ahame Dunia hii na kumpeleka huko panapomfanya maji aite mma dada wewe.Tumia kwa ulimi na meno kwa kumdatisha zaid lakini usimng’ate hata ni mchezo tu ili kuwezesha kukamilisha lengo.
Makalio: Sio kitu cha kushangaza jamani, na wanaume pia hupenda kushika hapo haswa pale imkiwa kwenye sita kwa sita,kwani ni sehemu ambayo inahisia kali zaidi ya nyingine lakini wadada ndo mnapokosea pointi hapo kwani manaipita na wengine kuionea aibu lakini hapo ndo habari ya mjini.
Ngozi: Hahaha, kumpapasa mwenza wako kimahaba kunaongeza msukumo wa damu, kwahiyo pale utapomshika kwa mikono laini huku ukimpapasa kwa ulimi inamuongezea hisia sana kwenye mapenzi.
Nyayo:sehemu hii pia huwa inasahulika sana lakini lakini kwa taarifa yako, ukiwa unamfanyia masagi mwenza wako utamfanya akupe vya uvuguni mwanadada.
Usipende kufanyiwa kama hupendi kumfanyia mwenza wako utachofanyiwa kwani mahahba.blogspot.com inakwambia kuwa ujanja ndo silaha hata babu hatakutuma silaha nyingine na juhudi binafsi zinahitajika.

Subscribe to:
Comments (Atom)