AINA SABA (7) ZA BUSU NA MAANA ZAKE
Ukweli busu ni kitu kinachoshangaza hasa
kutokana na raha yake, wengi hufurahia sana kutoa na kupokea busu na
bado tunakumbukumbu halisi za busu la kwanza lilivyokuwa.
Inawezekana na wewe ni moja ya wale wanaotafakari ladha ya busu la kwanza itakuwaje, tulia, kwani www.mahaba.blogspot.com inakupa aina ya busu na maana yake.
ZIFUATAZO NI AINA SABA ZA BUSU NA MAANA ZAKE
Butterfly kiss;
Hapa unambusu mwenza wako ukiwa kwenye
zero distance, fungua kope zako polepole huku ukigusanisha kwenye shavu
lake. Busu hili hutoa mtekenyo wenye kusisimua kwenye shavu.
Eskimo kiss
Huku mpo distance zero na mpenzi wako sugua pua yako kwenye pua yake kama sekunde 10 hivi, raha sana.
Finger kiss
Wakati mmelala wote na mpenzi wako, chukua kidole kimoja cha mkono wake na kibusu kwa kukinyonya.
French kiss
Hili ni busu linalohusisha ulimi wengine
huita “soul kiss” kwa sababu uhai na nafsi hupita kwenda kwa mwingine
kupitia kupumua kwa kinywa kupitia ulimi “wet”, aina hili la busu
huhusisha maeneo yote ya mdomo na husisimua maeneo yote ya mwili.
Fruit kiss
Chukua kipande cha tunda (hasa fruit
juice kipande cha nanasi, embe au zabibu) ng’ata nusu na yeye nusu na
kunyang’anyana hadi zinavunjika na juice kuteremka midomoni kimahaba
zaidi.
Tiger kiss
Kama tiger huku akiwa hajui ukiwa
mgongoni mshike na kumbusu kwa kung’ata shingo (angalia usije muumiza
mimi simo nazungumzia kung’ata kimahaba).
Earlobe Kiss
Polepole ingiza ulimi kwenye masikio na
kuyanyonya, usifanye kwa kusababisha sauti sana kwani masikio ni
sensitive sana kwa sauti.
No comments:
Post a Comment